Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Habari Forums:Where we talk openly - Portal EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

Keywords

Jinsi  mwanamke  

Who is online?
In total there are 2 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 2 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 30 on Sun Apr 26, 2015 9:31 am
RSS feeds


Yahoo! 
MSN 
AOL 
Netvibes 
Bloglines 


MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015

Sun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

Kura
WAKATI zoezi la upigaji kura lililoanza tangu majira ya saa moja asubuhi ya leo likiwa limeisha katika maeneo mbalimbali saa kumi jioni, kinachosubiriwa sasa ni matokeo ya awali ya kura za Madiwani, Wabunge na hatimaye kura za wagombea urais ambayo yatatangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Tutawaletea matokeo haya kadri tutakapoyapokea kutokana na jinsi wasimamizi wa uchaguzi …

[ Full reading ]

Comments: 0

Mbunge wa Ukonga Eugene Mwaiposa Afariki

Wed Jun 03, 2015 7:55 am by Admin

kafariki majira ya saa nne asubuhi mjini Dodoma.

Haijafahamika vema kama alikuwa anaumwa nini, lakini taarifa za awali zinasema, Amefia Rock hotel, jirani na kituo cha mafuta cha Shabiby.

Comments: 0

Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria

Wed Mar 11, 2015 5:20 pm by Admin


Hizi safar hizi...jaman ukipanda gar unashukuru na ukishuka salama pia husisahau kushukuru.... Amjali imetokea changalawe mafinga basi la Majinja limeangukiwa na kontena muda huu hali si nzuri.... Inasemekana watu Karibia wote Wamapoteza maisha.....MUNGU AZILAZE MAHAL PEMA PEPON ROHO ZA MAREHEM JAMAN.....DUH...

Updates

Taarifa za awali kutoka jeshi la polisi mkoani Iringa zinaeleza kuwa basi …

[ Full reading ]

Comments: 0

Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda

Mon Mar 09, 2015 9:24 pm by Admin

Kwa mtu ambaye ametokea kwenye maisha ya kawaida kama Aggy, bila shaka nafasi hiyo adimu aliyoipata angeitendea haki, either kwa kujiendeleza kielimu au kibiashara. Ni mda mrefu umepita toka binti huyo mrembo apate shavu la kuishi kwenye ardhi ya Madiba yenye kila aina ya starehe bila kufanya kitu chochote cha maendeleo.

Ki ukweli Dada yetu huyu kajibweteka mno, hata kama umepata mwanaume mwenye …

[ Full reading ]

Comments: 0

Hiki ndicho alichoandika Mary Nyerere, mtoto wa mama Maria Nyerere baada ya mama yake kuzushiwa kifo

Mon Mar 09, 2015 9:23 pm by Admin



Hiki ndicho alichoandika Mary Nyerere, mtoto wa mama Maria Nyerere baada ya mama yake kuzushiwa kifo.....

Jisomee Hapa Chini:


Comments: 0

Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi

Mon Mar 09, 2015 9:22 pm by Admin

Mama wa Staa wa Bongo Movies,Wema Sepetu anadaiwa kumzaba vibao askari wa kampuni binafsi.

Kwa mujibu wa shuhuda watukio zima, tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es Salaam, majira ya mchana Ijumaa iliyopita. Awali ya yote shuhuda huyo alihojiwa kama s kama anamjua vizuri mama Wema ambapo alithibitisha kuwa ni yeye huku akisapotiwa na wenzake waliokuwa …

[ Full reading ]

Comments: 0

WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND

Mon Mar 09, 2015 9:21 pm by Admin

STAA wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada kutumiwa maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa simu.
“Heeeh! …

[ Full reading ]

Comments: 0

Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini

Mon Mar 09, 2015 9:20 pm by Admin



Live! Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’, baada ya kukaa muda mrefu akiwa ‘singo’ tangu aachane na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kupata mrithi wa msanii huyo aliyetajwa kwa jina moja la Swedi.

Habari kutoka kwa chanzo cha kuaminika kilichoomba hifadhi ya jina kimedai kuwa, Penny na Swedi wanaishi pamoja maeneo ya Mwananyamala jijini …

[ Full reading ]

Comments: 0

Tukio lingine la Mtoto Albino Kukatwa Kiganja cha Mkono hili hapa, Mama yake Ajeruhiwa Vibaya

Mon Mar 09, 2015 9:18 pm by Admin

LICHA ya Serikali, jamii na jumuiya ya kimataifa kukemea ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), bado kuna wanaoendelea kung’ang’ania mila potofu za kuamini kwamba bila ya ushirikina unaohusishwa na matumizi ya viungo vya albino, hawawezi kufanikiwa kimaisha, iwe katika kisiasa au kibiashara.

Hayo yanathibitishwa na kuendelea kuripotiwa kwa matukio ya ukatili dhidi ya albino, …

[ Full reading ]

Comments: 0

Social bookmarking

Social bookmarking reddit      

Bookmark and share the address of Habari Forums on your social bookmarking website

Top posters
Admin
Habari Forums:Where we talk openly - Portal Vote_lcapHabari Forums:Where we talk openly - Portal Voting_barHabari Forums:Where we talk openly - Portal Vote_rcap 

April 2024
MonTueWedThuFriSatSun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930     

Calendar Calendar

Most active topic starters
Admin
Habari Forums:Where we talk openly - Portal Vote_lcapHabari Forums:Where we talk openly - Portal Voting_barHabari Forums:Where we talk openly - Portal Vote_rcap 

Statistics
We have 1 registered user
The newest registered user is Admin

Our users have posted a total of 54 messages in 54 subjects