Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

Jinsi  mwanamke  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Lakini ungeweza Kama ungetaka EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Lakini ungeweza Kama ungetaka

Go down

Lakini ungeweza Kama ungetaka Empty Lakini ungeweza Kama ungetaka

Post by Admin Wed Jun 03, 2015 1:03 pm

Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/=
Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4.

Babu akagoma kulipa akasema aitiwe meneja.

Meneja akaja kuwasikiliza

Babu: " Kwanini bili ni kubwa hata kama ni hotel ya kisasa?"

Manager;"kuna maswiming puli, ya kisasa "

Babu; "Lakini hatukuyatumia"

Manager; "Ah ah ah. Lakini mungeweza kama mngetaka"

Babu: "Hata hivo bado haithamini kuwa laki 5"

meneja: "Pia Kuna waimbaji kutoka sauzi, Uganda , Congo"

Babu: "Lakini sisi hatukuwasikiliza"
Meneja: "Ndiooo. Lakini mngeweza kama mngetaka"

Babu; aka give up na kumwambia mkewe andika cheki uwape,,

Bibi akaandika akampa meneja.
Meneja anaangalia anaona sh. 50,000

Akashangaa na kusema. "VP mbona hamsini'"

Bibi akajibu "450,000 ya kulala na mimi"

Meneja akajibu; "Lakini sijalala"

Bibi :"ungeweza kama ungetaka"

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum