Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

mwanamke  Jinsi  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Upinzani Tanzania wazindua kampeni EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Upinzani Tanzania wazindua kampeni

Go down

Upinzani Tanzania wazindua kampeni Empty Upinzani Tanzania wazindua kampeni

Post by Admin Sat Aug 29, 2015 8:11 pm

Mgombea urais wa Muungano wa upinzani nchini Tanzania unaojulikana UKAWA, Edward Lowassa leo amezindua kampeni zake katika kinyang'anyiro cha kugombea urais wa nchi hiyo.
Maelfu ya wakazi wa mji wa Dar es Salaam walijitokeza maelfu kwa maelfu kumsikiliza mgombea huyo ambaye ameahidi kuweka kipau mbele katika sekta ya elimu na kusema kuwa atafanya elimu kuwa bure kuanzia darasa la kwanza hadi Chuo Kikuu.
Chama tawala Chama cha Mapinduzi CCM kilizindua kampeni zake jumapili iliyopita ambapo Mgombea urais wa chama hicho John Magufuli aliahidi pamoja na mambo mengine kuanzisha mahakama maalum ya kushtaki watu wanaotuhumiwa kwa ufisadi.
Tanzania mwaka huu ina wagombea 8 wanaowania nafasi ya urais ambapo kati ya hao mmoja ni mwanamke.
Kampeni hizo zitaendelea hadi siku moja kabla ya uchaguzi utakaofanyika tarehe 25 Octoba mwaka huu.

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum