Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

Jinsi  mwanamke  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015

Go down

MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015 Empty MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015

Post by Admin Sun Oct 25, 2015 7:59 pm

Kura
WAKATI zoezi la upigaji kura lililoanza tangu majira ya saa moja asubuhi ya leo likiwa limeisha katika maeneo mbalimbali saa kumi jioni, kinachosubiriwa sasa ni matokeo ya awali ya kura za Madiwani, Wabunge na hatimaye kura za wagombea urais ambayo yatatangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Tutawaletea matokeo haya kadri tutakapoyapokea kutokana na jinsi wasimamizi wa uchaguzi watakapokuwa wameyabandika katika vituo ambavyo wananchi wamepigia kura.

Wagombea mbalimbali kutoka Tanzania Bara na Visiwani wameshiriki zoezi la kupiga kura katika maeneo yao. Zoezi la upigaji kura linameendelea kwa amani kutoka sehemu zote za Tanzania.

Update 20:15hrs

Kituo C, Lemanyata, Arumeru Magharibi
Kura: 428

Magufuli (CCM): 324
Edward Lowassa (Chadema): 91
Kituo A, Lemanyata, Arumeru Magharibi
Kura: 431

Magufuli (CCM): 372
Edward Lowassa (Chadema): 49
Kituo cha Ilmanyara, Longido
Kura: 105

Magufuli (CCM): 56
Edward Lowassa (Chadema): 40
Kituo cha Engutoto, Longido
Kura: 120

Magufuli (CCM): 73
Edward Lowassa (Chadema): 40
Kituo cha Tenki la Maji, Iringa Mjini
Kura: 189

Magufuli (CCM): 98
Edward Lowassa (Chadema): 89
Kituo cha Tukuyu 3, Mbeya
Kura: 234

Magufuli (CCM): 102
Edward Lowassa (Chadema): 130
Kituo cha Shule ya Msingi Meru 2, Arusha Mjini
Kura: 290

Magufuli (CCM): 200
Edward Lowassa (Chadema): 90
Kituo cha Shuleni, Sanje, Kilombero
Kura: 220

Magufuli (CCM): 157
Edward Lowassa (Chadema): 53
Kituo cha Kidete, Kilosa, Morogoro
Kura: 243

Magufuli (CCM): 189
Edward Lowassa (Chadema): 40

Kituo cha Ituli, Mpunguzi, Dodoma Mjini
Kura: 170
Magufuli (CCM): 157
Edward Lowassa (Chadema): 7

Matokeo ya awali Nafasi ya Urais Zanzibar
Jimbo: Mkoani
Shehia: Kisiwa Panza
CUF=777
CCM=155.

Jimbo la Kiwani Shehia ya Chole Kituo Skuli ya Kengeja Secondary:
Wapiga kura wote walikuwa ni = 142
CUF =107.
CCM=28.
ADC= 3.

Zilizoharibika baada ya kupigwa = 4.
Zilizoharibika kabla ya kupigwa= 0.

Kituo Skuli ya Bwana Moyo Wilaya ya Wete Jimbo la Mtambwe.

Kituo namba 1
Maalim Seif 317
Dkt.Shein 5

Kituo namba 2
Maalim Seif 220
Dkt.Shein 2.

Endelea kutufuatilia.

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum