Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

mwanamke  Jinsi  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini

Go down

Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini Empty Hivi Mnajua Kuwa Penny Kapata Mrithi wa Diamond? Kama Hamjui Basi Hiyo Ndiyo Habari ya Mjini

Post by Admin Mon Mar 09, 2015 9:20 pm



Live! Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’, baada ya kukaa muda mrefu akiwa ‘singo’ tangu aachane na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kupata mrithi wa msanii huyo aliyetajwa kwa jina moja la Swedi.

Habari kutoka kwa chanzo cha kuaminika kilichoomba hifadhi ya jina kimedai kuwa, Penny na Swedi wanaishi pamoja maeneo ya Mwananyamala jijini Dar na wamekuwa wakioneshana mahaba nilegeze hata mbele za watu huku mara kadhaa wakitupia picha zao za pamoja kwenye mitandao ya kijamii.

“Hivi ninyi mnajua kuwa Penny kapata mrithi wa Diamond? Kama hamjui basi hiyo ndiyo habari ya mjini.
“Kwa taarifa yenu wanapika na kupakua na hakuna asiyejua hilo, kama vipi fuatilieni mtapata ukweli,” alidai mtoa habari huyo.

Katika kujiridhisha, waandishi wetu walianza kufuatilia kwa kufika kwenye nyumba anayoishi Penny na kukuta imefungwa ila baadhi ya majirani walidai kuwa, wanajua uhusiano wa Penny na Swedi kwani wanawaona kila siku wakiingia na kutoka.

Penny alipotafutwa kupitia simu yake ya mkononi ili afunguke juu ya hilo, iliita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hadi tunakwenda mtamboni hivyo jitihada za kumpata ili aweke mambo sawa zinaendelea

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum