Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

mwanamke  Jinsi  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria

Go down

Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria Empty Breaking News: Ajali Mbaya Iringa Kontena Laangukia Basi la Abiria

Post by Admin Wed Mar 11, 2015 5:20 pm


Hizi safar hizi...jaman ukipanda gar unashukuru na ukishuka salama pia husisahau kushukuru.... Amjali imetokea changalawe mafinga basi la Majinja limeangukiwa na kontena muda huu hali si nzuri.... Inasemekana watu Karibia wote Wamapoteza maisha.....MUNGU AZILAZE MAHAL PEMA PEPON ROHO ZA MAREHEM JAMAN.....DUH...

Updates

Taarifa za awali kutoka jeshi la polisi mkoani Iringa zinaeleza kuwa basi la kampuni Majinja lililolaliwa na lori lilikuwa limebeba jumla ya watu 49, idadi hiyo ni pamoja na dereva na kondakta wa basi hilo.wengi wa watu hao wamefariki dunia idadi ya majeruhi haijajulikana bado.

Taarifa hizo zinaeleza kuwa kwenye mizigo mingi ya abiria waliokuwa kwenye basi hilo kumepatikana madaftari mengi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam hivyo jeshi hilo linaendelea kufanya mawasoliano ma wamiliki wa gari hilo ili kujua kama lilikuwa limekodishwa kubeba wanafunzi wa chuo hicho ama ni mchanganyiko wa kawaida wa abiria.

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum