Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

Jinsi  mwanamke  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND

Go down

WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND Empty WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND

Post by Admin Mon Mar 09, 2015 9:21 pm

STAA wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada kutumiwa maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa simu.
“Heeeh! Huyu vipi tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia, hapa nataka kusikia mimi na maisha yangu na si maisha ya mtu mwingine,” alisikika Wema.

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum