Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

mwanamke  Jinsi  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi

Go down

Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi Empty Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi

Post by Admin Mon Mar 09, 2015 9:22 pm

Mama wa Staa wa Bongo Movies,Wema Sepetu anadaiwa kumzaba vibao askari wa kampuni binafsi.

Kwa mujibu wa shuhuda watukio zima, tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es Salaam, majira ya mchana Ijumaa iliyopita. Awali ya yote shuhuda huyo alihojiwa kama s kama anamjua vizuri mama Wema ambapo alithibitisha kuwa ni yeye huku akisapotiwa na wenzake waliokuwa wakisikika kwenye simu.

“Nani asiyemjua mama wa staa mkubwa kama Wema? Tena kafuatana na Wema mwenyewe. Kila mtu hapa anamjua ngoja tujaribu kupata picha zake nzuri,” alisema shuhuda huyo kwa kujiamini.
Shuhuda huyo alidai kwamba chanzo cha yote, mama Wema alidaiwa kutumia mlango usio sahihi na alipofuatwa kuelekezwa ndipo likaibuka timbwili zito.

“Kinachoonekana alikuwa ameshuka kwenye boti akitokea Zanzibar kwenye shughuli binafsi. Wakati anatoka kuchukua hamsini zake akiwa na Wema, wakapita mlango ambao siyo sahihi.
“Sasa askari wa kampuni binafsi akawafuata na kuwazuia ili kuwapa maelekezo lakini mama Wema alikasirika, akaanza kumpiga vibao.

“Hapo ndipo lilipoibuka timbwili zito kwani askari naye hakutaka kukubali kirahisi.
“Naye mama Wema kuonesha si mtu wa mchezo aligeuka mbogo na kusababisha watu kushindwa kuamini.

“Baadaye walipelekana kwenye kituo cha polisi cha pale bandarini wakamalizana lakini tayari ishu hiyo ilishageuka gumzo maeneo hayo.“Hatujui walikubaliana nini zaidi ya kuwaona wakitimua zao kwani hawakutaka kukusanya tena watu,” alidai shuhuda wetu huyo.

Baada ya kumwagiwa tukio hilo la moto, chanzo cha habari hii kilimtafuta mama Wema ambaye hakukanusha kutokea kwa tukio hilo badala yake aliomba aachwe kwanza apumzike nyumbani kwake, Sinza-Mori jijini Dar.
“Niache nipumzike kwanza nitakusimulia tukio,” alisema mama Wema.Alipotafutwa kwa mara nyingine hakuwa tayari kutoa ushirikiano hivyo jitihada za kusikia upande wake zinaendelea.

Chanzo: GPL

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum