Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

Jinsi  mwanamke  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi

Go down

Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi Empty Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi

Post by Admin Wed Mar 11, 2015 5:18 pm

Wema Sepetu
Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa dansi ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana.


Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.

“Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili,” amesema. “Tulizinguana tukafika pointi tukasaidiana, ameoa nikamtolea mchango, nimeenda kwenye harusi yake sioni tatizo.”

“Mimi na Chaz Baba tulikuwa tunapendana na baada ya kufikia point ya kuachana tukaachana, tukawa hatuongei for sometime mwisho wa siku baada ya kila mmoja kukaa kwake tukawa tunazungumza. Sio kama watu wengine tukigombanaga tunatafuta mabifu, hatusemeshani,” ameongeza mrembo huyo aliyesisitiza kuwa ‘sina bwana’.

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum