Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

Jinsi  mwanamke  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz

Go down

Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz Empty Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz

Post by Admin Mon Mar 09, 2015 9:10 pm

Wakati hit single ya Diamond Platnumz, Ntampata Wapi inatoka mwaka jana, watu wengi waliamini kuwa wimbo huo amemwandikia ex wake, Wema Sepetu.

Tetesi hizo zilienea baada ya kubainika kuwa wawili hao wameachana tena. Hata hivyo Wema amedai kuwa si kweli.

“Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi,” Wema aliiambia Radio 5 ya jijini Arusha.

“Because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano alikuwa akiimba, akiind kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya nyimbo zake kama anavyoandika nyimbo zote lakini nadhani tu timing ya kutoka ndio kidogo imekuwa na utata because kaitoa timing ambayo watu wote wakadhani kamuimbia Wema but in real sense noo,” aliongeza Wema.

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum