Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

Jinsi  mwanamke  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda

Go down

Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda Empty Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda

Post by Admin Mon Mar 09, 2015 9:24 pm

Kwa mtu ambaye ametokea kwenye maisha ya kawaida kama Aggy, bila shaka nafasi hiyo adimu aliyoipata angeitendea haki, either kwa kujiendeleza kielimu au kibiashara. Ni mda mrefu umepita toka binti huyo mrembo apate shavu la kuishi kwenye ardhi ya Madiba yenye kila aina ya starehe bila kufanya kitu chochote cha maendeleo.

Ki ukweli Dada yetu huyu kajibweteka mno, hata kama umepata mwanaume mwenye Pesa kama Bakhresa, kujituma muhimu. Umebahatika kupata Uraia uko na watu ambao wanakusaidia kusogeza maisha mbele lakini naona mwenzetu umekazana kupost picha za makalio mpaka tunaona kizunguzungu huko Insta.

Kuna watu wanatamani hizo nafasi usiku na mchana ila hawazipati. Mbaya zaidi ni lugha ambayo unatumia siku hizi huko Insta yani hadi aibu kuongea, mtu unakaa nchi za watu kwa miaka zaidi ya mitatu unashindwa kufanya juhudi za kujua lugha za wenzetu ambao wameendelea? Sio wote wanaoenda nchi za watu wanafanikiwa kimaisha ila pia kuna vitu tunajifunza tunapotembelea nchi za watu either viwe vizur au vibaya.

Kuna watanzania wengi tu ambao wamefanya mabadiliko kwa kuzitumia fursa za kutembelea nchi za watu na kuleta mabadiliko kwenye maisha yao na jamii kwa ujumla, mfano halisi Sporah Njau na Watanzania wengine ambao hawajulikani.

Tunajua wazi kuwa Elimu yako haitoshi na wala hauna kipato kikubwa cha kuweza kusababisha uishi maisha bila kumtegemea mtu. Ila ni vizur ukajikumbusha ulipotoka, umepata bahati jiongeze, maisha yanabadilika ipo siku watu unaowategemea hawatakuwepo tena. Soma hata vi short course vikusaidie kukabiliana na maisha au fungua hata biashara.

Bahati haiji Mara Mbili..

By Warumi

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum