LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU!
Page 1 of 1

1. Amepanga kusafirisha wanavyuo zaidi ya 100 kila Chuo kwa vyuo visivyopungua 60 nchini kwa gharama ya siku 3 ya sh 120,000 @ mmoja ambayo ni sawa na sh 720,000,000.
2. Bodaboda 100 kutoka kila mkoa nchini kwa gharama ya sh 120,000 @ mmoja kwa siku tatu ambayo ni sawa na sh300,000,000.
3. Bodaboda 500 kutoka Arusha kwa ajili ya kupamba msafara kwa gharama ya sh 50,000 ambayo ni sawa na sh 25,000,000.
4. Wamasai 1000 kutoka monduli kwa posho na gharama ya 50,000 @ mmoja ambayo ni sawa na sh 50,000,000.
5. TV channels 3 kwa gharama ya sh 280,000,000.
6. Radio channels 6 kwa gharama ya sh 70,000,000.
7. Uwanja wa tukio kwa makadirio ya sh 20,000,000.
HII INASHANGAZA KUONA MTU ANANUNUA IKULU KWA CASH JE HIZO FEDHA ZITARUDI KWA NJIA GANI? NI VYEMA SISI WANA CCM TUKAFANYA MAAMUZI YA UTASHI KAMA VILE ALIVYOTUAHIDI BABA WA TAIFA, LA SIVYO WATANZANIA WATAFANYA MAAMUZI YA BUSARA NA CCM TUTAPIGWA ASUBUHI SAA NNE.
Ikulu kuna biashara gani? Ikulu ni mzigo!
By: Hamis Kigwangala (Mb).

Similar topics
» ALBINO WAZICHAPA LIVE WAKIGOMBANIA IKULU
» Tukio lingine la Mtoto Albino Kukatwa Kiganja cha Mkono hili hapa, Mama yake Ajeruhiwa Vibaya
» Soma hapa hotuba ya ndugu Edward Lowasa alivyotangaza nia ya Uraisi

Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum
Sun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin
» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Sat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin
» Joke Of the Day
Sun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin
» Tatizo sugu LA Ajira
Sat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin
» Joke Of the Day
Sat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin
» Joke Of the Day
Sat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin
» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Sat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin
» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Wed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin
» Fun fact teehe
Wed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin