Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

mwanamke  Jinsi  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema

Go down

Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema Empty Mwanasheria Albert Msando Afunguka kuhusu Kufukuzwa Zitto Kabwe Chadema

Post by Admin Wed Mar 11, 2015 5:17 pm




Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;

1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?

2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.

3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?

4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?

5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.

6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.

7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.

9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.

Chanzo: Clouds TV

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum