Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

mwanamke  Jinsi  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga

Go down

Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga Empty Mzungu Simba awataja watatu walioiua Yanga

Post by Admin Wed Mar 11, 2015 9:43 am

KOCHA wa Simba, Goran Kopunovic, amesema wachezaji wapya watatu walichangia kuimaliza Yanga juzi Jumapili.

Akizungumza na Mwanaspoti, Kopunovic raia wa Serbia yenye makocha zaidi ya 270 wa soka la kulipwa, alisema alilazimika kutumia mfumo ambao hawakuwahi kuutumia lengo likiwa kuwabana Yanga akiwatumia wachezaji wake watatu vijana ambao beki Kessy Ramadhan, kiungo Abdi Banda na kiungo Ibrahim Ajibu huku kila mmoja akipewa jukumu lake.

Kopunovic alisema alijua Yanga nguvu yao kubwa ni katika mashambulizi ya pembeni ambapo alimtaka Kessy kuwa imara katika upande wa kulia akishirikiana na Tshabalala huku Wekundu hao wakitumia upande wa kulia kuanzisha mashambulizi mpango ambao ulijibu kwa kupatikana kwa bao hilo pekee katika kipindi cha pili likifungwa na Emmanuel Okwi.

Alisema mbali na mpango huo, pia alimpa jukumu Banda ambaye alicheza mechi yake ya kwanza ya Simba na Yanga akitakiwa kuzima mipango yote ya Yanga kutoka kati kwa kurudi haraka kusaidia ukabaji wakati Yanga wakishambulia mpango ambao ulifanikiwa huku Ajibu akipewa jukumu la kusaidiana na Okwi.

“Nawajua Yanga naweza kusema kwamba niliwasoma kule Zanzibar wakati tukishiriki ile michuano (Kombe la Mapinduzi) nikajua nitakapokutana nao nifanye nini ndiyo maana sikuwaangalia tena baada ya hapo nilimaliza kazi lakini kuna watu ambao niliwatuma kumaliza mechi,”alisema Kopunovic.

“Unapokutana na timu yenye wachezaji wazoefu kama Yanga ni lazima utumie akili ya ziada, niliwapa majukumu wachezaji wapya kazi ya kuizima Yanga ambao walishirikiana na wenzao kukamilisha ushindi.”

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum